Home Mchanganyiko WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA...

WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS DKT. KHALID SALUM – ZANZIBAR

0

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Dkt. Khalid Salum Mohamed akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama alipofika ofisini kwake, Vuga Mjini Zanzibar Leo tarehe 12 Januari, 2021.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Dkt. Khalid Salum Mohamed alipomtembelea ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar tarehe 12 Januari, 2021.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Dkt. Khalid Salum Mohamed (wa pili kutoka kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa Ofisi yake, mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo hii leo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Dkt. Khalid Salum Mohamed wakiwa katika kikao kazi cha kujadili na kuweka mikakati ya kuweza kushirikiana katika masuala ya uratibu wa shughuli za Serikali na kubadilisha uzoefu kuhusu masuala yanayoshabihiana.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)