Home Mchanganyiko SHIRIKA LA NDEGE LA ATCL LAZINDUA SAFARI ZA NDEGE KUTOKA DAR ES...

SHIRIKA LA NDEGE LA ATCL LAZINDUA SAFARI ZA NDEGE KUTOKA DAR ES SALAAM HADI GEITA

0

Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 ikiondoka katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato kuelekea Mwanza mara baada ya uzinduzi wa Safari yake ya kwanza ya kutoka jijini Dar es Salaam.

Abiria wakishuka katika ndege hiyo ya ATCL aina ya Bombardier Q-400   mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Geita.Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 likiwasili katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani Geita.