Home Mchanganyiko MAKAMU WA RAIS AWASILI ZANZIBAR KUFUNGHUA TAMASHA LA SABA LA BIASHARA

MAKAMU WA RAIS AWASILI ZANZIBAR KUFUNGHUA TAMASHA LA SABA LA BIASHARA

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo Januari 05,2021,  kwa ajili ya kufungua Tamasha la Saba la Biashara linalotarajiwa kuanza kesho Januari 06,2021 katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.