Spika wa Bunge Mhe, Job Y. Ndugai (Mb) akifurahia na wenyeji wake mara baada ya kuwasili katika
| Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya watu wenye ulemavu wilayani Kongwa Jijini Dodoma tarehe 3 Disemba 2020. Maadhimisho hayo yalikuwa na kauli mbiu “Si Kila Ulemavu Unaonekana” yaliratibiwa na Chama cha SHIVYAWATA. |
Maaandamano ya wananchi mbalimbali kuadhimisha kilele cha siku ya Kimataifa ya watu wenye ulemavu wilayani Kongwa Jijini Dodoma tarehe 3 Disemba 2020. Maadhimisho hayo yalikuwa na kauli mbiu “Si Kila Ulemavu Unaonekana” yaliratibiwa na Chama cha SHIVYAWATA.

Spika wa Bunge Mhe. Job Y Ndugai akiwa katika jukwaa kuu katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya watu wenye ulemavu wilayani Kongwa Jijini Dodoma tarehe 3 Disemba 2020. Maadhimisho hayo yalikuwa na kauli mbiu “Si Kila Ulemavu Unaonekana” yaliratibiwa na Chama cha SHIVYAWATA.
(Picha na Ofisi ya Bunge)