Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  akizungumza na  Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini  Tanzania Nd.Shalini Bahuguna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo pamoja na kusalimiana na Mhe.Rais leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  akizungumza na  Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini  Tanzania Nd.Shalini Bahuguna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo pamoja na kusalimiana na Mhe.Rais leo (kushoto) Mwakilishi wa Unicef hapa zanzibar Maha Damaj,PHD.[Picha na Ikulu