Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiwa ameambatana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Prof. Tadeo Satta wakiwasili katika Mahafali ya 46 chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Wahitimu wa Chuo cha Chuo Kikuu cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakati wa Mahafali ya 46 chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto) akimpatia zawadi Mwanafunzi Bora kwa Wahitimu wa kozi zote za Shahada wa Chuo cha Kikuu cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Bw. Robin Micky Goliama wakati wa Mahafali ya 46 chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Tadeo Satta, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Prof. Emmanuel Mjema na Mwakilishi wa Waziri wa Fedha ambaye pia Naibu Mkurugenzi wa Mipango katika Wizara ya Fedha, Bw. David Mwankenja.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Chuo Kikuu cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Prof. Tadeo Satta (kulia) na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho Prof. Emmanuel Mjema (kushoto) wakati wa Mahafali ya 46 chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na Menejimenti na Wanafunzi Bora katika kozi mbalimbali wa Chuo cha Kikuu cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakati wa Mahafali ya 46 chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
PICHA NA BUNGE