Nahodha Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao pekee kwa penalti dakika ya 69 kufuatia Paul Pogba kumchezea rafu Hector Bellerin katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford PICHA ZAIDI SOMA HAPA
ARSENAL YAICHAPA 1-0 MANCHESTER UNITED PALE PALE OLD TRAFFORD
By Alex Sonna
November 2, 2020 | 9:15 am

Related Stories
View all
Uncategorized
7 hours ago
SERIKALI YAKABIDHI PAMPU 52 ZA UMWAGILIAJI WAKULIMA KATAVI KUONGEZA TIJA NA KULINDA MAZINGIRA
NIRC Katavi. Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imekabidhi pampu 52 za umwagiliaji zenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 500 kwa vikundi…
Uncategorized
2 days ago
TMA YAKANUSHA TAARIFA POTOFU KUHUSU BARIDI NCHINI
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imekanusha taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikidai kuwa tukio la…
