Home Siasa MGOMBEA URAIS KUPITIA TIKETI YA CCM RAI MHE.DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI CHUO...

MGOMBEA URAIS KUPITIA TIKETI YA CCM RAI MHE.DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI CHUO CHA MIPANGO JIJINI DODOMA NA KUWAOMBA KURA

0

Mgombea Urais Kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi Rais Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwaonesha wananchi namna ya Kupiga Kura na  kuwaomba wamchague katika Chuo cha Mipango Jijini Dodoma leo. Wananchi wa Dodoma wakimsikiliza Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwaomba Kura.