Mkuu wa Mradi wa APRA Tanzania Prof. Aida Isinika akichangia neno kwenye uwasilishwaji wa matokeo ya utafiti wa Kilimo Shadidi cha mpunga uliowasioishwa na Dkt. Devotha Kilave.

Dkt. Devotha Kilave Mtafiti akiwasilisha matokeo ya utafiti wa Kilimo Shadidi cha Mpunga mbele ya waandishi wa habari.Waandishi wa habari wakifuatilia uwasilishwaji wa matokeo hayo ya utafiti wa Mradi wa APRA Mkoani Morogoro kwenye ukumbi wa ICE – SUA.

Mwandishi wa habari wa Gazeti la The Citizen, Jacob Mosenda akiuliza swali kwa watafiti ili kupata ufafanuzi zaidi.Waandishi wa habari wakochukua vipeperushi na machapisho mbalimbali ya matokeo ya Tafiti zilizofanhwa na Mradi wa APRA Tanzania.