Home Siasa MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM RAIS MHE.DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BUNJU NA...

MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM RAIS MHE.DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA BUNJU NA MWENGE AKIWA NJIANI KUELEKEA BAGAMOYO

0

Mgombea Urais Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Mwenge na Bunju akiwa njiani kuelekea Bagamoyo leo Tarehe 19. Mgombea Urais Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akimvalisha kofia mtoto Baraka Chande baada ya kupaza sauti akimuamkia Rais Maeneo ya Bunju akilekea Bagamoyo leo Tarehe 19. Maelfu ya wananchi wa Mwenge na Bunju wakikusanyika kumsikiliza Mgombea Urais Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa njiani kuelekea Bagamoyo leo Tarehe 19.