Home Uncategorized MGOMBEA MWENZA CCM MAMA SAMIA AENDELEA NA KAMPENI MKOA WA SONGWE

MGOMBEA MWENZA CCM MAMA SAMIA AENDELEA NA KAMPENI MKOA WA SONGWE

0

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Laela Sumbawanga alipokuwa njiani akielekea Mkoani Songwe kuanza ziara ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM  Mbozi Mkoani Songwe 

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Momba alipowasili katika Viwanja vya Nkala Chitete Momba Mkoani Songwe leo Oktoba 13,2020 kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM.

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Momba wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Viwanja vya Nkala Chitete Momba Mkoani Songwe  leo Oktoba 13,2020.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)