Home Biashara TBL ILIVYOADHIMISHA SIKU YA UNYWAJI BIA DUNIANI KISTAARABU (GBRD 2020)

TBL ILIVYOADHIMISHA SIKU YA UNYWAJI BIA DUNIANI KISTAARABU (GBRD 2020)

0

Timu ya wafanyakazi wa TBL wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu,Philip Redman katika picha ya Pamoja baada ya kutoa elimu katika baa ya Calabash jijini Dar es Salaam Wafanyakazi wa mabaa kutoka mikoa ya  Mwanza,Mbeya na Arusha wakiwa na  mabango yenye jumbe za unywaji  kistaarabu zilizotolewa na TBL

***********************************

Kampuni bia Tanzania (TBL) mwishoni mwa wiki iliadhimisha Siku ya Unywaji bia kistaarabu duniani kwa kutoa elimu ya unywaji kistaarabu kwenye mabaa katika mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya na Arusha.