Home Biashara RAIS DK SHEIN AFUNGUA JUKWAA LA 11 LA BIASHARA ZANZIBAR

RAIS DK SHEIN AFUNGUA JUKWAA LA 11 LA BIASHARA ZANZIBAR

0

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar (ZNBC) Ndg. Taufiq Salim Turkry  akitowa salamu za Jumuiya katika hafla ya mkutano wa Jukwaa la Kumi na Moja (11) la Biashara Zanzibar lililofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akionesha Kitabu cha “Zanzibar Business Enabling Environment 2020” baada ya kukizindua wakatika wa hafla ya Jukwaa la Kumi na Moja (11) la Biashara Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akionesha Kitabu cha “Zanzibar Business Enabling Environment 2020” baada ya kukizindua rasmin katika hafla ya Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Moja (11) la Biashara Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Amina Salum Ali

WAJUMBE wa Mkutano wa Jukwaa la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mwenyekiti wa Jukwaa la Biashara Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohameds Shein.(hayupo pichani) mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

WAJUMBE wa Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Moja (11) la Biashara Zanzibar wakiwa wamesimama kwa dakika moja kumuombea dua Mfanyabiashara Maaruf Zanzibar Salim Turkry , kabla ya kuaza kwa jukwaa hilo lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Viongozi wa meza kuu wakiwa wamesimama wakimuombea dua Mfanyabiashara Maaruf Zanzibar Marehemu Salim Turkry, wakati wa mkutano wa Jukwaa la Kumi na Moja (11) la Biashara Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia na kulifungua Jukwaa la Kumi na Moja (11) la Biashara Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
NO.4741////WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe.Balozi Amina Salum
Ali akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin kulifungua Jukwaa la Kumi na Moja (11) Biashara Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh. Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)