Home Uncategorized DK.SHEIN AMUAPISHA JAJI WA MAHAKAMA KUU YA ZANZIBAR

DK.SHEIN AMUAPISHA JAJI WA MAHAKAMA KUU YA ZANZIBAR

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akimuapisha Nd.George Joseph Kazi kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria.[Picha na Ikulu].18/09/2020.  

Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar pamoja na Mawakili wakiwa katika hafla ya kuapishwa  Nd.George Joseph Kazi kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria.[Picha na Ikulu].18/09/2020. Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zubeir Ali Maulid wakati wa  hafla ya kuapishwa  Nd.George Joseph Kazi kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria.[Picha na Ikulu].18/09/2020.