Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuagana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa kijiji cha Nanyumbu Jimbo la Nanyumbu Mkoani Mtwara alipokuwa njiani akielekea Mkoani Ruvuma kuendelea na Ziara zake za mikutano ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM baada ya kukamilisha ziara yake katika Mkoa wa Mtwara leo Septemba 14,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)