Home Uncategorized RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AMEZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS...

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AMEZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI IKULU ZANZIBAR

0

BAADHI ya Wakurugenzi wa Idara mbalimbali katika Ofisi ya
Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, wakifuatilia Kikao cha
kuwasilisha ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi, kilichofanyika katika
ukumbi wa IKulu Jijini Zanzibar, wakati ikiwasilishwa, kikao hicho
kimeongozwa na  Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.

MSHAURI wa Rais Masuala ya Historian a Mambo ya Kale Mhe.Ali
Mzee Ali, akichangia wakati wa Kikao cha Utekelezai Mpango Kazi kwa
mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na
Ikulu)