Home Biashara Vodacom Tanzania Foundation yaunganisha wanafunzi maeneo ya pembezoni kupitia program ya Instant...

Vodacom Tanzania Foundation yaunganisha wanafunzi maeneo ya pembezoni kupitia program ya Instant School

0

Meneja ruzuku na mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald akizungumzia namna mradi wa Vodacom Instant Schools unavyounganisha intaneti na kusaidia wanafunzi katika maeneo ya pembezoni kujisomea wakiwa nje ya shule lakini pia jinsi ambavyo program hii inaunganisha shule zilizoko vijijini (School Connectivity).
Wengine pichani ni Mhandisi kutoka UCSAF Ritha Kimolo (kushoto) na  Msaidizi wa  Mradi  kutoka ISOC Peter  Mmbando.