Home Biashara PICHA:NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA MHE.NDUHIYE ATEMBELEA BANDA...

PICHA:NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA MHE.NDUHIYE ATEMBELEA BANDA LA TBS, AFURAHISHWA NA HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA SHIRIKA HILO KATIKA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI SIMIYU

0

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Ludovick Nduhiye akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkuu TBS, Dkt. Yusuf Ngenya katika banda la TBS wakati wa maonesho ya nane nane Simiyu.