Home Biashara Askari Magereza ajishindia kitita cha shilingi 128 milioni kwenye bahati nasibu ya...

Askari Magereza ajishindia kitita cha shilingi 128 milioni kwenye bahati nasibu ya Tusua mapene na Vodacom

0

Afisa Huduma wa bahati nasibu ya Tusua Mapene na Vodacom Tanzania, Paulina Biseko (kulia), Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Alex Bitekeye (wa pili kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na mabalozi wa shindano la Tusua Mapene na Vodacom Tanzania, Judith Laizer (kushoto) na Golden Mangula mara baada ya kumtangaza mshindi wa  bahati nasibu hiyo, Celestina Kilemezi, askari Magereza wa Gereza la  Musoma ambaye amejishindia zaidi ya shilingi milioni 128/- za shindano hilo. Ili kushiriki shindano hili tuma neno Voda kwenda 15544. Afisa Huduma wa bahati nasibu ya Tusua Mapene na Vodacom, Paulina Biseko (kulia) na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Alex Bitekeye (katikati) wakimsikiliza Balozi wa Tusua Mapene, Golden Mangula wakati akiongea na mshindi wa shindano hilo, Celestina Kilemezi, askari Magereza wa Gereza la  Musoma ambaye amejishindia zaidi ya shilingi milioni 128/- za bahati nasibu hiyo. Ili kushiriki shindano hili tuma neno Voda kwenda 15544. Mkuu wa gereza la Musoma, Mrakibu Mwandamizi wa Magereza Aliko Mwakalobo (wa pili kulia) akishuhudia mshindi wa Bahati nasibu ya Tusua Mapene Sajenti Celestina Kilemezi (katikati) akipongezwa na Meneja mauzo wa Vodacom Tanzania PLC – Musoma, Jovinth Ikate, baada ya afande Kilemezi kuibuka mshindi wa shilingi 128 milioni. Ili kushiriki kwenye promosheni hii, mteja anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu