Home Biashara TBS YAENDELEA KUTOA HUDUMA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM

TBS YAENDELEA KUTOA HUDUMA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM

0

***************************

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu kwa jamii, wafanyabiashara, wajasiriamali na wananchi kwa ujumla namna wanavyoweza kusajili       bidhaa za Chakula na vipodozi na kuweza kupata alama ya ubora wakati wa maonesho ya Kimataifa ya 44 ya Biashara yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Pia wanatoa elimu kuhusu utaratibu wa kuingiza bidhaa nchini pamoja huduma nyingine zinazohusu udhibiti ubora.