Home Mchanganyiko Waziri Jafo aongoza kikao cha Utawala Bora

Waziri Jafo aongoza kikao cha Utawala Bora

0

**********************************

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo akiongoza Kikao cha Kuimarisha Uongozi na Utawala Bora katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng.Joseph Nyamhanga, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho M. Gambo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Richard Kwitega, Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel F. Daqarro, Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Maulid Madeni pamoja na Wakurugenzi wa OR-TAMISEMI.

Kikao hicho kimefanyika mapema leo Tarehe 10/06/2020 kwenye Ofisi za TAMISEMI zilizopo kwenye Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.