Home Mchanganyiko WAJUMBE UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA WASHIRIKI KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUTATHMINI...

WAJUMBE UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA WASHIRIKI KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUTATHMINI MAENDELEO YA PROGRAMU YA MALEZI JIJINI DODOMA

0

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo mbele ya Wajumbe wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) wakati wa kikao cha Maandalizi ya Kutathmini Maendeleo ya Programu ya Malezi kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Kaimu Mwenyekiti Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) Mhe. Zainab Vullu (katikati) akizungumza na Wajumbe wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) wakati wa kikao cha Maandalizi ya Kutathmini Maendeleo ya Programu ya Malezi kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Mratibu wa Vikao vya Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) Ofisi ya Bunge, Ndg. Angelina Sanga na Mshauri Muelekezi wa Mradi wa Malezi, Dkt. Godfrey Chambua

Mjumbe Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Magdalena Sakaya akizungumza na Wajumbe wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) wakati wa kikao cha Maandalizi ya Kutathmini Maendeleo ya Programu ya Malezi kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Mshauri Muelekezi wa Mradi wa Malezi, Dkt. Godfrey Chambua akitoa ufafanuzi mbele ya Wajumbe wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) wakati wa kikao cha Maandalizi ya Kutathmini Maendeleo ya Programu ya Malezi kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Mjumbe wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Hasna Mwilima akisisitiza jambo mbele ya Wajumbe wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) wakati wa kikao cha Maandalizi ya Kutathmini Maendeleo ya Programu ya Malezi kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Mjumbe wa Umoja huo Mhe. Esther Mahalu

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)