Home Mchanganyiko WAZIRI UMMY MWALIMU APOKEA MSAADA WA FEDHA TSH.MILIONI 50 NA NDOO 300...

WAZIRI UMMY MWALIMU APOKEA MSAADA WA FEDHA TSH.MILIONI 50 NA NDOO 300 ZA SABUNI

0

*****************************

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amepokea msaada wa fedha kiasi cha sh milioni 50 na ndoo 300 za sabuni.

Akizungumza na waandishi mapema leo akipokea msaada wa ndoo 300 za Sabuni na fedha Kiasi cha milioni 50, Kwa ajili ya kupambana na Virusi vya Corona.

Kuna huhitaji wa vitakasa mikono pamoja na barakoa kwa wakati huu mashirika na makampuni wajitokeze kushirikiana na serikali kwa kipindi hiki.