Home Mchanganyiko VIONGOZI MBALIMBALI NA WAFANYAKAZI WAKIFANYIKA VIPOMO VYA JOTO LA MWILI WANAPOINGIA IKULU...

VIONGOZI MBALIMBALI NA WAFANYAKAZI WAKIFANYIKA VIPOMO VYA JOTO LA MWILI WANAPOINGIA IKULU JIJINI ZANZIBAR.

0

WAZIRI Asiyekuwa na Wizara Maalum (MBM) Mhe Said Soud Said akipimwa joto la mwili kabla ya kuingia katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Baraza la Mapinduzi Kilichofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.25/11/2020. Anayefuata ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasi Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam Juma Sadala.(Picha na Ikulu)

KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Bi. Radhia Haroub Rashid, akipimwa joto la mwili kutumia mashine maalum, wakati akiwasili katika viwanja Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed  akiwa katika zoezi la kupimwa joto la mwili  kabla ya kuingia katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Baraza la Mapinduzi kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo,25/11/2020.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Sheria na Katiba Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim akipimwa joto la mwili kutumia mashine maalum, wakati akiwasili katika viwanja vya Ikulu kuhudhuria Kikao cha Baraza la Mapinduzi kilichofanyika leo 25/11/2029 Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akipimwa joto la mwili wakati akiwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Baraza la Mapinduzi kilichofanyika leo Ikulu 25/11/2020 Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe. Balozi.Ali  Abeid Karume akipimwa joto la mwili kabla ya kuingia katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Baraza la Mapinduzi kilichofanyika leo 25/11/2020.(Picha na Ikulu)