Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Aggrey Mwanri akisikiliza maoni ya wajumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa baada ya kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti yam waka 2019/2020 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mkoa wake kwa Mwaka wa
Fedha 2020/2021. Kikao hicho cha Kamati kimefanyika katika Ofisi za Bunge, Jijini Dodoma.
Mbunge wa Mpwawa, Mhe. George Lubeleje ambaye ni Mjumbe wa Kamati Utawala na Serikali za Mitaa akichangia Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2019/2020 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mkoa wa Tabora iliyowasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Aggrey Mwanri mbele ya Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa. Kulia ni Katibu Kamati Prosper Minja na Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Mwanne Nchemba. Kikao hicho cha Kamati kimefanyika katika Ofisi za Bunge, Jijini Dodoma.
Mbunge wa Mpwawa, Mhe. George Lubeleje ambaye ni Mjumbe wa Kamati Utawala na Serikali za Mitaa akichangia Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2019/2020 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mkoa wa Tabora iliyowasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Aggrey Mwanri mbele ya Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa. Kikao hicho cha Kamati kimefanyika katika Ofisi za Bunge, Jijini Dodoma.
Mbunge wa Kilolo, Mhe. Venance Mwamoto ambaye ni Mjumbe wa Kamati Utawala na Serikali za Mitaa akichangia Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2019/2020 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mkoa wa Singida iliyowasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Rehema Nchimbi mbele ya Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa. Kikao hicho cha Kamati kimefanyika katika Ofisi za Bunge, Jijini Dodoma.
Mbunge wa Rombo, Mhe. Joseph Selasini ambaye ni Mjumbe wa Kamati Utawala na Serikali za Mitaa akichangia Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya mwaka 2019/2020 pamoja na makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mkoa wa Singida iliyowasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Rehema Nchimbi, mbele ya Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa. Kikao hicho cha Kamati kimefanyika katika Ofisi za Bunge, Jijini Dodoma.