Wajasiriamali na Wafanyabiashara wilayani Rungwe wakihamasishwa kuthibitisha ubora bidhaa zao, kusajili majengo na kuomba msaada wa kitaalamu kwenye masuala ya ubora pindi wanapohitaji kusafirisha bidhaa zao nje ya nchi.