Home Mchanganyiko Waziri Mwakyembe akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar

Waziri Mwakyembe akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar

0

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akifafanua jambo kwa Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Hussain Ahmad Al-Homaid
Wakati Balozi huyo alipomtembelea leo 6 Machi katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam na kujadiliana masuala mbalimbali ya kushirikiana katika sekta ya Michezo.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akibadilishana kadi za mawasiliano na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Hussain Ahmad Al-Homaid wakati Balozi huyo alipomtembelea leo 6 Machi katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam na kujadiliana masuala mbalimbali ya kushirikiana katika sekta ya Michezo.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akifafanua jambo kwa Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Hussain Ahmad Al-Homaid Wakati Balozi huyo alipomtembelea leo 6 Machi katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam na kujadiliana masuala mbalimbali ya kushirikiana katika sekta ya Michezo, kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Yusufu Singo.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akiagana na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Hussain Ahmad Al-Homaid Wakati Balozi
huyo alipomtembelea leo 6 Machi katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam na
kujadiliana masuala mbalimbali ya kushirikiana katika sekta ya Michezo.

Picha na WHUSM – Dar es Salaam