Home Mchanganyiko ZIARA YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU, ZANZIBAR

ZIARA YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU, ZANZIBAR

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatib Hassan, wakati akiwasili katika uwanja wa ndege wa Zanzibar, kushoto ni Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Miches, Balozi, Ali Abeid Karume. Januari 17, 2020. Waziri Mkuu, atakuwepo Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi, Seif Ali Iddi, baada ya kuwasili Zanzibar, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu Zanzibar. Januari 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)