Home Uncategorized MAKAMU WA RAIS M,HE. SAMIA AWASILI WILAYANI SERENGETI

MAKAMU WA RAIS M,HE. SAMIA AWASILI WILAYANI SERENGETI

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TYanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adama Malima alipowa Uwanja wa Ndege wa Seronera Wilaya ya Serengeti leo Disemba 22, 2019 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na  Mamlaka ya Hifadhi ya NGORONGORO (NCAA) yanayotarajiwa kufanyika kesho katika Hifadhi ya Ikoma Serengeti Mkoani Mara.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TYanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.  Hamis Kigwangala Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adama Malima alipowa Uwanja wa Ndege wa Seronera Wilaya ya Serengeti leo Disemba 22, 2019 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na  Mamlaka ya Hifadhi ya NGORONGORO (NCAA) yanayotarajiwa kufanyika kesho katika Hifadhi ya Ikoma Serengeti Mkoani Mara.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)