Home Uncategorized GREENWOOD APIGA MBILI MANCHESTER UNITED YAICHAPA 4-0  AZ ALKMAAR EUROPA LEAGUE  

GREENWOOD APIGA MBILI MANCHESTER UNITED YAICHAPA 4-0  AZ ALKMAAR EUROPA LEAGUE  

0

 

Mason Greenwood akishangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika ya 58 na 64 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya AZ Alkmaar kwenye mchezo wa Kundi L UEFA Europa League usiku huu Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya Man United yamefungwa naAshley Young dakika ya 53 na Juan Mata dakika ya 62 kwa penalti PICHA ZAIDI SOMA HAPA