Mkuu wa Takwimu za Bei kutika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Abdul-Rahman Msham(katikati)akitoa takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda Asilimia 3.1 kwa mwezi wa Novemba 2019 ukilinganisha na 2.4 kwa mwezi wa Octoba 2019 hafla iliofanyika ukumbi wa Mtakwimu mkuu mazizini Zanzibar.
PICHA NO-0083-Baadhi ya Wandishi wa Habari waliohudhuria katika hafla ya utoaji wa takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda Asilimia 3.1 kwa mwezi wa Novemba 2019 ukilinganisha na 2.4 kwa mwezi wa Octoba 2019 hafla iliofanyika ukumbi wa Mtakwimu mkuu mazizini Zanzibar.
Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Uchumi Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Suleiman Simai Msaraka akifafanua baadhi ya maswala yalioulizwa katika hafla ya utoaji wa takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda Asilimia 3.1 kwa mwezi wa Novemba 2019 ukilinganisha na 2.4 kwa mwezi wa Octoba 2019 hafla iliofanyika ukumbi wa Mtakwimu mkuu mazizini Zanzibar.
Meneja Uchumi Benki kuu ya Tanzania Tawi la Zanzibar Moto N’winganele Lugobi akijibu maswali yalioulizwa na Waandishi katika hafla ya utoaji wa takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda Asilimia 3.1 kwa mwezi wa Novemba 2019 ukilinganisha na 2.4 kwa mwezi wa Octoba 2019 hafla iliofanyika ukumbi wa Mtakwimu mkuu mazizini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.