Home Biashara Vodacom Tanzania Plc Yajivunia Kutoa Fursa kwa Wanawake

Vodacom Tanzania Plc Yajivunia Kutoa Fursa kwa Wanawake

0
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Plc, Rosalynn Mworia (kulia) akizungumza wakati wa kongamano la Data Tamasha linalokusanya wadau mbalimbali wa takwimu kwa maendeleo endelevu linalofanyika jijini Dar Es Salaam. Wengine ni Meneja Mkazi wa CRS Tanzania, Kelli Hynes na Mkurugenzi Uendeshaji wa FSDT, Irene Mlola.
Mkuu wa Kitengo kinachoangalia ufanisi wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc, Zaituni Ally akizungumza wakati wa kongamano la Data Tamasha linalokusanya wadau mbalimbali wa takwimu kwa maendeleo endelevu linalofanyika jijini Dar Es Salaam.