Home Mchanganyiko Jaji Mwaimu akutana na Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar

Jaji Mwaimu akutana na Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar

0

Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi ya Zanzibar, Mheshimiwa Assaa Ahmad Rashid akiteta jambo na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu walipokutana mapema leo Novemba 28, 2019 katika hoteli ya Madina Al Bahr iliyopo Visiwani Zanzibar.

Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi ya Zanzibar, Mheshimiwa Assaa Ahmad Rashid akiongea katika kikao kifupi baina yake na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu walipokutana mapema leo Novemba 28, 2019 katika hoteli ya Madina Al Bahr iliyopo Visiwani Zanzibar. Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu na Wa kwanza kulia ni Mwakilishi kutoka Shirika la Kimataifa la Maendeleo, Paul
 .

Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi ya Zanzibar, Mheshimiwa Assaa Ahmad Rashid akiongozana kuelekea katika chumba cha mkutano na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu Novemba 28, 2019 katika hoteli ya Madina Al Bahr iliyopo Visiwani Zanzibar.