Home Mchanganyiko WABUNGE NA WAJUMBE WA SHIRIKISHO LA WATU WENYE MAHITAJI MAALUM WATEMBELEA HIFADHI...

WABUNGE NA WAJUMBE WA SHIRIKISHO LA WATU WENYE MAHITAJI MAALUM WATEMBELEA HIFADHI YA NGORONGORO

0

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Walemavu, Mhe. Stellah Ikupa (Mb), (katikati) akizungumza wakati Wabunge na Wajumbe kutoka Shirikisho la Watu wenye Mahitaji Maalum walipotembelea Hifadhi ya Ngorongoro.

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirikisho la Watu wenye Mahitaji Maalum Mhe. Riziki Lulida (Mb), (wa pili kushoto) akizungumza wakati yeye pamoja na ujumbe wake walipotembelea Hifadhi ya Ngorongoro.

Katibu wa Shirikisho la Watu wenye Mahitaji Maalum Mhe. Amina Mollel (Mb), (kushoto) akizungumza wakati yeye pamoja na wajumbe  wenzake walipotembelea Hifadhi ya Ngorongoro.

Mhifadhi Mambo kale katika Hifadhi ya Ngorongoro, Bw. Godfery Ollemoita, (kulia) akiwaelezea Wabunge na Wajumbe kutoka Shirikisho la Watu wenye Mahitaji Maalum Udongo unaohama wakati walipotembelea hifadhi hiyo.

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Walemavu, Mhe. Stellah Ikupa (Mb), (wa tatu kushoto) katika picha ya pamoja na Kamishina wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Dkt. Fredy Manango (kushoto kwake), Wabunge na Wajumbe kutoka Shirikisho la Watu wenye Mahitaji Maalum walipotembelea Hifadhi ya Ngorongoro.

Kamishina wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Dkt. Fredy Manango (kulia) akizungumza na Wabunge na Wajumbe kutoka Shirikisho la Watu wenye Mahitaji Maalum wakati walipotembelea mamlaka hiyo.