Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE KUTOKA HOSPITALI YA CHUO...

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE KUTOKA HOSPITALI YA CHUO KIKUU YA HAUKELAND YA NCHINI NORWAY

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na (CEO,HUH) Mr.Eivind Hansen, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu kwa mazungumza na Ujumbe kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland cha Nchini Norway, kulia Mr.Trond Mohn  na Ms.Marit Mohn Westlake, wakiwa katika ukumbi Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na wageni wake kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland Nchini Norway baada ya kamaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo 22-11-201 katika ukumbi wa Ikulu  Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland cha Nchini Norway, ukiongozwa na (CEO HUH) Mr. Eivind Hansen (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo 22-11-2019.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mr.Trond Mohn, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu kwa mazungumzo na Ujumbe kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu ya Hakeland cha Nchini Norway.(Picha na Ikulu)