Home Mchanganyiko MKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI NA MILLENIUM WOMEN’S GROUP WAKABIDHI MISAADA...

MKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI NA MILLENIUM WOMEN’S GROUP WAKABIDHI MISAADA MBALIMBALI KITUO CHA KULEA WAZEE CHA NUNGE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

0

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa na wajumbe wa umoja wa wake wa viongozi mbalimbali uitwao New Millenium Women’s Group akiwasili katika kituo cha kulea wazee cha Nunge Kigamboni jijini Dar es salaam leo. Wengine toka kushoto ni Mama Tunu Pinda, Mama Mary Majaliwa, Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Elimu, sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako na Mama Asina Kawawa.

Wajumbe wa umoja wa wake wa viongozi mbalimbali uitwao New
Millenium Women’s Group wakiwa katika kituo cha kulea wazee cha Nunge Kigamboni jijini Dar es salaam leo walikofika kutoa misaada mbalimbali katika kuadhimisha umoja huo

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitoa misaada ya nguo na
vyakula kwa kituo cha kulea wazee cha Nunge Kigamboni jijini Dar essalaam leo.

Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa akitoa misaada ya nguo na vyakula kwa kituo cha kulea wazee cha Nunge Kigamboni jijini Dar essalaam leo.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitoa misaada wa gypsum 178 kaajili ya ujenzi wa bwalo la kituo cha kulea wazee cha Nunge Kigamboni jijini Dar es salaam leo.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na wajumbe wenzie wa umoja wa wake wa viongozi mbalimbali uitwao New Millenium Women’s Group na baadhi ya wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kigamboni katika kituo cha kulea wazee cha Nunge Kigamboni jijini Dar es salaam leo.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na
wajumbe wenzie wa umoja wa wake wa viongozi mbalimbali uitwao New Millenium Women’s baada ya kukabidhi misaada katika katika kituo cha kulea wazee cha Nunge Kigamboni jijini Dar es salaam leo.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na
wajumbe wenzie wa umoja wa wake wa viongozi mbalimbali uitwao New Millenium Women’s na wakaaazi wa kituo cha kulea wazee cha Nunge Kigamboni jijini Dar es salaam leo.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na wajumbe wenzie wa umoja wa wake wa viongozi mbalimbali  uitwao  New Millenium Women’s baada ya kukabidhi misaada katika katika kituo cha kulea wazee cha Nunge Kigamboni jijini Dar es salaam leo.

PICHA NA IKULU

………………….

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli ameungana na wake wa viongozi mbalimbali katika kusherehekea miaka 10 ya umoja wao uitwao  New Millenium Women’s Group kwa kutoa misaada katika kituo cha kulea wazee cha Nunge Kigamboni jijini Dar es salaam leo.

Mama magufuli, ambaye aliambatana na Mlezi wa umoja huo Mke wa Waziri
Mkuu Mama Mary Majaliwa, Mwenyekiti wake Mke wa Waziri Mkuu Mstaa