Maafisa wa TAKUKURU walioongozwa na Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma-TAKUKURU Bw.Joseph Mwaiswelo, wakiwa na Waziri Mkuchika pamoja na Naibu Waziri wake Dkt.Mary Mwanjelwa katika picha ya pamoja
******************************
Maafisa 53 wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU wameshiriki kikao cha Bunge leo asubuhi kwa lengo la kutangazakampeni ya Utatu inayoshieikisha TAKUKURU.
Akizungumza Bungeni Jijini Dodoma, Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Andrew Chenge ameipongeza TAKUKURU kwa kazi nzuri wanayoifanya nchi nzima.
Hata hivyo katika Kampeni hiyo pia Jeshi la Polisi pamoja na wadau mbalimbali katika kuzuia na kupambana na Vitendo vya Rushwa Barabarani.