Home Biashara Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Foundation watembelea shule ya Sekondari Mtakuja ikiwa ni...

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Foundation watembelea shule ya Sekondari Mtakuja ikiwa ni sehemu ya kukuza upatikanaji wa elimu bure nchini.

0

Mratibu wa Instant Schools Christine Lucas (kushoto) akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Mtakuja ya jijini Dar es Salaam kuhusu mfumo huo unavyofanya kazi wakati wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Foundation walipofanya ziara katika shule hiyo. Mfumo huu unasaidia wanafunzi kujisomea popote wanapokuwa bila gharama yeyote ile. VTF ilitoa kompyuta 24 zilizounganishwa na intaneti vyote vikiwa na thamani ya shilingi 131,904,000/=