Home Mchanganyiko MATUKIO YA SPIKA NDUGAI WAKATI WA UGAWAJI WA TABLETS BUNGENI JIJINI DODOMA

MATUKIO YA SPIKA NDUGAI WAKATI WA UGAWAJI WA TABLETS BUNGENI JIJINI DODOMA

0

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Mhe. Dkt. Jasmine Tiisekwa Bunge akizungumza jambo wakati wa Kikao cha Kamati hiyo cha kupitisha ratiba ya Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge na ugawaji wa Tablets tukio lililofanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akikabidhiwa Tablets na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai wakati la ugawaji wa tablets kwa Wabunge wote tukio lililofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akikabidhiwa Tablets na Katibu wa Bunge, Mhe. Stephen Kagaigai wakati wa ugawaji wa tablets kwa Wabunge wote tukio lililofanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya uongozi wakati wa kupitisha ratiba ya Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge na ugawaji wa Tablets tukio lililofanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya uongozi wakiwa kwenye kikao cha kupitisha ratiba ya Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge na ugawaji wa Tablets tukio lililofanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) akikabidhiwa Tablets na Katibu wa Bunge, Mhe. Stephen Kagaigai wakati wa ugawaji  wa tablets kwa Wabunge wote tukio lililofanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)