Home Mchanganyiko MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI 5.11.2019

MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI 5.11.2019

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa Tablets na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai wakati la ugawaji wa tablets kwa Wabunge wote, katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 4, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Salma Kikwete, Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Wabunge, wakati akiingia Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)