Home Burudani WATANZANIA WATAKAOSHINDA KILIMANJARO MARATHON 2020 KUTIA KIBINDONI SH. MIL.7

WATANZANIA WATAKAOSHINDA KILIMANJARO MARATHON 2020 KUTIA KIBINDONI SH. MIL.7

0

Normal
0

false
false
false

EN-US
X-NONE
X-NONE

MicrosoftInternetExplorer4

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison
Mwakyembe (wa tatu kushoto), akifurahi mara baada ya  kufunua pazia kuzindua mashindano ya
Kimataifa ya Kilimanjaro Marathon 2020,
kwenye Hoteli ya Coral Beach, Dar es Salaam Mwishoni mwa wiki. Kutoka
kushoto ni Mkurugenzi wa Michezo wa wizara hiyo, Yusufu Singo na Rais wa Riadha
Tanzania (RT), Antony Mtaka na kutoka kulia ni Woinde Shisael  Meneja Mawasiliano wa Kamouni ya Tigo
Wadhamini wa Kili Half Marathon na Pamela Kikulu Meneja Bia ya Kilimanjaro
Wadhamini wakuu wa mbio ndefu za Km 42. Mashindano hayo yatafanyika Machi Mosi
mwakani. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Normal
0

false
false
false

EN-US
X-NONE
X-NONE

MicrosoftInternetExplorer4

/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin:0in;
mso-para-margin-bottom:.0001pt;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:11.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-fareast-font-family:”Times New Roman”;
mso-fareast-theme-font:minor-fareast;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;
mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison
Mwakyembe (wa tatu kushoto), akifunua pazia ikiwa ni ishara ya kuzindua
mashindano ya Kimataifa ya Kilimanjaro Marathon 2020,  kwenye Hoteli ya Coral Beach, Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki. Wanaoshudia kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Michezo wa
wizara hiyo, Yusufu Singo na Rais wa Riadha Tanzania (RT), Antony Mtaka na
kutoka kulia niWoinde Shisael  Meneja
Mawasiliano wa Kamouni ya Tigo Wadhamini wa Kili Half Marathon na Pamela Kikulu
Meneja Bia ya Kilimanjaro Wadhamini wakuu wa mbio ndefu za Km 42.

Normal
0

false
false
false

EN-US
X-NONE
X-NONE

MicrosoftInternetExplorer4

/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin:0in;
mso-para-margin-bottom:.0001pt;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:11.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-fareast-font-family:”Times New Roman”;
mso-fareast-theme-font:minor-fareast;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;
mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison
Mwakyembe (kushoto), akikabidhiwa zawadi na Pamela Kikulu Meneja Bia ya Kilimanjaro
Wadhamini wakuu wa mbio ndefu za Km 42.

Normal
0

false
false
false

EN-US
X-NONE
X-NONE

MicrosoftInternetExplorer4

/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin:0in;
mso-para-margin-bottom:.0001pt;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:11.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-fareast-font-family:”Times New Roman”;
mso-fareast-theme-font:minor-fareast;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;
mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}

Meneja wa Grand Malt, David Tarimo wadhamini wa mbio za Km
5, akielezea kuhusu udhamini huo pamoja na sifa za kinywaji hicho.

Woinde Shisael  Meneja
Mawasiliano wa Kamouni ya Tigo Wadhamini wa Kili Half Marathon akielezea kuhusu
udhamini wao na kuwaomba watanzania kuisapoti kampuni hiyo kwa kujisajili kwa
wingi kujiunga na mtandao huo mkubwa nchini.