Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE WA MADAKTARI WA CHAMA CHA...

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE WA MADAKTARI WA CHAMA CHA WAPATHOLIJIA TANZANIA IKULU ZANZIBAR LEO

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na wageni wake Ujumbe wa Madaktari wa Chama Cha Wapatholojia Tanzania (APT) walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo 1/11/2019 wakiwa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Madaktari  wa Chama Cha Wapatholojia Tanzania (APT) walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo,( kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Chama Cha Wapatholijia Tanzania Dkt. Charles Massambura akiwa na ujumbe wake.  wakiwa Zanzibar kwa ziara ya siku mbili hafla imefanyika leo 1/11/2019 Ikulu  Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)