Home Mchanganyiko MAJALIWA AZINDUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI NA BIASHARA MTWARA .

MAJALIWA AZINDUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI NA BIASHARA MTWARA .

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua kongamano la Uwekezaji na Biashara Mtwara kwenye viwanja vya Chuo cha Ualimu cha Mtwara, Novemba 1, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Uwekezaji na Biashara  Mtwara, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozindua Kongamano hilo kwenye viwanja vya Chuo cha Ualimu cha Mtwara, Novemba 1, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)