Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na viongozi  Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Mataifa  ya Afrika wakiwa katika picha ya pamoja  na Rais wa urusi, Vladimir Putin kabla ya kuanza kwa    Mkutano baina ya Urusi na Afrika unaofanyika,  Sochi nchini Urusi, Oktoba 24, 2019.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)