Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi, Mheshimiwa Oscar Mukasa akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati hiyo walipokutana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Jijini Dodoma  hii leo. (Picha na Ofisi ya  Bunge)

Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi wakifuatilia Taarifa ya majukumu ya Mpango wa Taifa wa kudhibiti Kifua kikuu na Ukoma kwa mwaka 2018/2019 iliyowasilishwa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Bakari Kambi Jijini Dodoma  hi leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)

Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Bakari Kambi akiwasilisha Taarifa ya majukumu ya Mpango wa Taifa wa kudhibiti Kifua kikuu na Ukoma kwa mwaka 2018/2019 kwenye Kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi Jijini Dodoma  hii leo.

(Picha na Ofisi ya Bunge)