Home Burudani MBWANA SAMATTA AUAGA UKAPERA, AFUNGA NDOA NA MPENZIWE DAR ES SALAAM

MBWANA SAMATTA AUAGA UKAPERA, AFUNGA NDOA NA MPENZIWE DAR ES SALAAM

0
 

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta ‘Kapteni Diego’ (kushoto) akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa jana mjini Dar es Salaam. Hongera Samatta, Mungu awajaalie maisha marefu, yenye furaha, amani na upendo na mwenza wako. Amin. 

You May Like