Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano kuhusiana na Taarifa ya kuondoa Adhabu,Riba na Faini mwaka 2019 kwa malengo ya kutoa Fursa kwa walipa kodi kusawazisha madeni yao hafla iliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini Zanzibar.Meneja Uhusiano na Huduma kwa walipa kodi Bodi ya Mapato Zanzibar ZRB Shaaban Yahya Ramadhan akitoa ufafanuzi kuhusiana naTaarifa ya kuondoa Adhabu,Riba na Faini mwaka 2019 kwa malengo ya kutoa Fursa kwa walipa kodi kusawazisha madeni yao hafla iliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini Zanzibar.Mwandishi wa Habari wa Hits Fm Rehema Juma Mema akiuliza maswali katika Mkutano kuhusiana na Taarifa ya kuondoa Adhabu,Riba na Faini mwaka 2019 kwa malengo ya kutoa Fursa kwa walipa kodi kusawazisha madeni yao hafla iliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameyataka mabunge kuimarisha usimamizi wa rasilimali za umma na uwajibikaji wa serikali, akisisitiza…
Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke, Mhandisi Nickson Babu akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Huduma Kwa Wateja …