Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, imehitimisha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa kuendelea kutoa huduma mbalimbali za kisheria kwa wananchi waliotembelea…
Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) imeendelea kuimarisha kampeni ya utoaji elimu kwa umma kuhusu madhara ya biashara ya bidhaa bandia, ikisisitiza kuwa utengenezaji, usambazaji…