????????????????????????????????????Baadhi ya Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika Madhimisho ya kutimia miaka 70 ya Taifa la China yaliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini mjini UngujaWageni waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika Madhimisho ya kutimia miaka 70 ya Taifa la China yaliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini mjini Unguja.Madaktari wakichina wakiimba wimbo wa Furaha katika Madhimisho ya kutimia miaka 70 ya Taifa la China yaliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini mjini Unguja.Wanafunzi wanaojifunza lugha ya Kichina wakiimba Wimbo wa Jambo, karibu Zanzibar katika Madhimisho ya kutimia miaka 70 ya Taifa la China yaliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini mjini Unguja.Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie Xiao Wu akitoa hotuba katika Madhimisho ya kutimia miaka 70 ya Taifa la China yaliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini mjini Unguja.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala wa Umma na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman akitoa hotuba katika Madhimisho ya kutimia miaka 70 ya Taifa la China yaliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini mjini Unguja. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Na, mwandishi wetu – Dar es Salaam Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kushirikiana na Taasisi OpenMap Development Tanzania (OMDTZ), kupitia mradi wa Ramani Zetu,…
Mkurugenzi mwanzilishi wa kampuni ya Conserve Safari Camps & Lodges, Simon Mossi, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa sekta ya utalii na…