Home Mchanganyiko WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGA MKUTANO WA MAKATIBU WAKUU WA SADC JIJINI DAR...

WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGA MKUTANO WA MAKATIBU WAKUU WA SADC JIJINI DAR ES SALAAM

0
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Mchezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati akifunga  Mkutano wa Makatibu wakuu wa SADC katika Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa ambao utafuatiawa na Mkutano wa Mawaziri wa Sekta hizo unaofunguliwa leo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa  mkutano huo ulianza  Septemba 16-18, 2019 jijini Dar es Salaam. Na unatarajia kumalizika Septemba 19-20, 2019. Picha zote na Matokeo Chanya+.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Mchezo Dkt. Harrison Mwakyembe na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Sekta ya Uchukuzi Bw. Leonard Chamriho wakifuatilia wakati wa kufunga mkutano Mkutano wa Makatibu wakuu wa SADC katika Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa ambao utafuatiawa na Mkutano wa Mawaziri wa Sekta hizo unaofunguliwa leo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa  mkutano huo ulianza  Septemba 16-18, 2019 jijini Dar es Salaam. Na unatarajia kumalizika Septemba 19-20, 2019. Picha zote na Matokeo Chanya+.

baadhi ya Makatibu wakuu wa SADC wa Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa wakifuatilia.